Nchi iko gizani ni JANGA....kwa hesabu ya juu juu gharama ya ndege malazi na hio petrol iliyotumika ya viongozi kumsindikiza na kumpokea vinywaji pale airport wakimsubiri,Gharama ya masaa waliopoteza kwa kusababisha msongamano mjini...Inaweza kutosha kununua generator ya kuzalisha MW kadhaa
Imefika wakti wa kuhoji hizi safari zinatunufaisha vipi sisi....hakuna nchi ya kiafrika inaweza kuatua matatizo ya ivory coast ni kupoteza tu hela zetu wakti tunazihitaji zaidi
View attachment 23854View attachment 23855 wana jf
nashindwa kuelewa kwa nini arejeapo jk kutoka majuu lazima viongozi wote muhimu waende kumpokea?kwani akienda makam wa raisi peke yake au waziri mkuu peke yake haitosho?huu ni ulimbukeni,au hawana kazi za kufanya,ndio maana tunazidi kuwa maskini.
baba mwenye nyumba akirudi lazima apokelewe
Pinda anaonekana kama anaona aibu na kusema ndio mzee..................