Maalim Jumar
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,259
- 118
Msinichukie bila sababu mwenzenu!!!sio waislamu wote wenye tabia hizo za kufuga majini nma kuyanyenyekea,mamangu muislamu na hana tabia hizi ni wachache kama marehemu na wafuasi wake kina maalim juma ndio wanaowachafua wenzao na maushirikina yao
Tena alisema alimuota kabla ya kifo chake kabla ya siku tatu....sijui alimaanisha nini?Jamani eti hata Mzee wa upako Antony Lusekelo anamsifu Yahya makubwa
kufa kila mtu atakufa, na si vyema kumhukumu aliyetangulia. Kwani uzima ni wa Mungu na kifo ni kazi yake. Kuhusu kuanguka kwa jk cdhani ni vyema kuhusisha na ushirikina, kwani hata Dr Slaa alianguka, na akavunjika na mkono, na hiyo tuiteje?, sihani kama tutakuwa tunaendeshwa na hisia na kuropoka itatufikisha kwenye ukombozi na ushawishi tunaoutaka. Wafaham kama mbowe alikuwepo kwenye msiba? Jiulize Sheikh yahya nani asiyemfaham ? Siasa ni watu. Usitoe maneno ya kuwafanya baadhi ya watu watilie shaka mtazamo wako.
Inaelekea alikuwa si mchezo huyu mzee,waombolezaji wengi wanaonekana wakiwa na huzuni ya kiukweli,hata hao viongozi wa vyama vya siasa wanaonekana wana huzuni kweli kweli,i wonder nani ataachiwa mikoba kati ya hao watoto wake.
Haya CHADEMA....Mtoto aliyempokea Rais Kikwete picha ya Juu Hassan ndie aliyechukua hiyo mikoba - nasikia huyo kijana ni CHADEMA...
Ina maana bosi alibadilisha hapo hapo msibani au?
Ni Katibu wa CDM jimbo la ubungo.kama nimekosea mniwie radhiMtoto aliyempokea Rais Kikwete picha ya Juu Hassan ndie aliyechukua hiyo mikoba - nasikia huyo kijana ni CHADEMA...
usalama wakikusikia una muombea kifo bosi wao utajuta miiiiiiiiiiiiii simohivi kwanini wasingemzika na mkw'ere humohumo, agggghrrrrr nikiona picha ya mkwer'e nahisi kutapika
usalama wakikusikia una muombea kifo bosi wao utajuta miiiiiiiiiiiiii simo