Jk anavyoiangamiza ccm

Henry Kilewo

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2010
Posts
899
Reaction score
1,108
Ndugu zangu, kila kukicha mambo yanabadilika, nimekuwa nikifuatilia haya matamko wanayotoa hawa ndungu zetu waislam..... nikafanya upembuzi yakinifu yakuwa wayasemayo ni kweli yanatoka kwenye nafsi zao? ama wanatumika ilikulinda maslahi ya watu fulani fulani hivi....

nikagundua mambo makuu yafuatayo
1> hawandugu zetu wanatumika kwaajili ya uchaguzi wa 2015 bila wao kujijua wakidhani wanaidhohofisha CHADEMA kumbe ndivyo sivyo, wanaiangusha ccm
taarifa juu ya hili: nikwamba wanawavuruga viongozi wa ccm wa bara ambao wanania ya kugombea 2015, ili ikifika kipindi hicho kusiwe na muafaka badala yake wamtoe rais kwa upande wao kutoka zanzibar ili wakose wote, hizi ndizo mbinu zitumikavyo sasa ilikupata , Rais wa ccm kutoka visiwani.


NI HERI VITA INAYOTAFUTA HAKI NA USAWA, KULIKO AMANI INAYOPUMBAZA NA KUDHALILISHA UTU WA MWANADAMU....
 
Mungu hamfichi mnafiki na alama za nyakati hazizuiwi kwa jaribio lolote! Anguko li miguuni mwao wenye hekima tutawakaribisha cdm na wakwasi tutamkabidhi Ocambo theheg!!!!
 
What you are saying might be true but you need to give us proof. Hatuwezi kukuamini bila ushahidi. Aise! Give us something.
 
sasa kama wagombea wa kutoka bara watakuwa wanagombana na pengine wamegawanyika katika makundi kama ilivyokuwa kwenye kinyang'anyiro cha uspika huoni kwamba itakua rahisi kujenga hoja kwamba Dr. Shein atafaa zaidi....

Compromise kwa nani?
 
nilichonena juu laanguko la CCM sasa laanza kudhirika kama wanajf mtanibishia tena tuombe uzima wote humu tuje tushuhudie anguko hilo ambalo ni lazima ila CCM lazima ife kwakuwa wameanza propagada za udini kwakutumia misikiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…