Jk anacheza jokeri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk anacheza jokeri

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by BABA JUICE, Sep 13, 2010.

 1. BABA JUICE

  BABA JUICE JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2010
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 428
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  KAMA UMEFUATITILI KAMPENI ZA KAGAME NI KAMA HIZI ANAZOFANYA JAKAYA,KAMPENI HIZI TUNAITA KAMPENI ZA HISIA,MTU AMBAE HAFIKIRII ATAONA KWELI JK ANAJALI WAZEE, WATOTO NA WALEMAVU KWANI PICHA NYINGI UTAONA MARA KAMKUMBATIA MTOTO MARA MZEE MARA ANAMPA HICHI MLEMAVU, HII INONYESHA KAKOSA SERA NA ANACHEZA NA HISIA ZA WATANZANIA WENGI AMBAO HAWAJUAI KUFIKIRI,KWANINI ASINGEANZISHA MFUKO WA WAZEE WAPATE HDUMA YA AFYA BURE KWANI HILO HALIWEZEKANI? LAZIMA KUNA NJIA YA KUPUNGUZA MACHUNGU KWA WANANCHI NA SIO KUWAPA MATUMAINI KIPINDI CHA uchaguzi.CCM IMEKOSA SERA MPYA KWANI SERA YAO YA 2005 IMEWAGEUKIA WENYEWE BASI WAMEAMUA KUIFUMBIA MACHO NA KUJA NA KILIMO KWANZA.....NAPASUA JIPU.....KILIMO KWANZA HII sera NI MJANJA MMOJA ALIANZISHA NA KWELI NI SERA NZURI,LKN SERIKALI NA CCM HAILIKULIANGALIA HILI KIUNDANI....ILIKUWA NI KWA MASLAI YA MTU BINAFSI KWANI kuna kodi kidogo kwenye pembejeo za kilimo.LINI TUTAACHA KUNUNUA VIAZI NA HOHO KUTOKA SAUZI....FIKIRIA.
   
 2. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,493
  Likes Received: 1,223
  Trophy Points: 280
  weye baba juice za azm wana wa israeli walipotaka kukombolewa kutoka utumwani walikuwa wakiwaza sufuria za nyama zilizo misri, naomba upotezee nyama za CCM uungane na sisi great thinkers tumtokomeze mdudu CCm na mapandikizi yake sio unajiunga na kuanza kumsifia mtu aliyesababisha miss kakosa taji kisa kumtaja, angalia sana, huyu mtu ni hatariii alisaini mkataba wa madini uliopelekea maangamizi kisha anaahidi kuwalipa fidia,kama umewezeshwa na hao jamaaa kwenye zile bilioni hamsini kula polepole kisha piga kura yako kwa slaaaaaaaaaaaa,achana na picha za kupiga kwa ajili ya mabango upendo wa dhati uko moyoni kasome maandiko usije ukaangamia kwa kukosa maarifa
   
Loading...