Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,708
- 4,577
Napendekezai JK amteue Tundu Lissu kuwa DPP ili kuleta msukumo mpya katika utawala bora na na tasnia nzima ya sheria na haki. Hii itasaidia kauli mbiu ya Ari, Nguvu na Kasi mpya kaika utoaji wa haki...
Pia itasaidia UKAWA kurudi bungeni kuendelea na mchakato wa Katiba mpya.
We ni Lisu, (sijui bisu) wako huyo, wote wangese.l