JK amteue Tundu Lissu kuwa DPP

JK amteue Tundu Lissu kuwa DPP

Mwanagenzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2006
Posts
741
Reaction score
281
Napendekezai JK amteue Tundu Lissu kuwa DPP ili kuleta msukumo mpya katika utawala bora na na tasnia nzima ya sheria na haki. Hii itasaidia kauli mbiu ya Ari, Nguvu na Kasi mpya kaika utoaji wa haki...

Pia itasaidia UKAWA kurudi bungeni kuendelea na mchakato wa Katiba mpya.
 
hii ni sawa na obama kuoga kwenye chumba cha osamA
 
Lisu ataanza kuandaa mashtaka ya jk mara moja baada ya kupewa huo uddpp! Si unakumbuka scandal ya Epa na sasa huo wizi unaoendelea huko dodoma mchana kweupe?
 
Lisu ataanza kuandaa mashtaka ya jk mara moja baada ya kupewa huo uddpp! Si unakumbuka scandal ya Epa na sasa huo wizi unaoendelea huko dodoma mchana kweupe?

CHADEMA wenyewe wakiingia IKULU wanaweza kumpa LISSU kuwa DPP? wanamtumia tu kama Karai la zege ila wanajua ana matatizo.
 
Back
Top Bottom