SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 43,707
- 60,765
nilimtazama alipokua ana kenua, honestly i was very surprised on top of that wakati waziri wake wa fedha mwenye asili ya Lilongwe alipokua akisaini makubaliano ya mkopo ya dola 25o mil ati aki kiri kua hizo hela zitaliwa na wachache akasema "unajua hapa bongo, lazima kitu kama hicho kitokee" i was extreemly shocked, waziri wa fedha anasema hivyo, aixee!!
Yawezekana aliwaalika kuwaomba msamaha pale alipowakashifu eti wanauza madawa ya KULEVYA!, yawezekana pia aliwaomba wamwombee msamaha kwa Mapadri na Maaskofu kwa kuwatusi live. Imekula kwake!.
JK ni mnafiki kupindukia,hivi wa tz tutategemea mvua mpaka lini kuzalisha umeme!hivi hakuna kweli wabunifu wa kubuni njia mbadala ya kuondoa hii kero na adha wanayopata wananchi kweli!!!Rais au kiongozi gani huyu asiyekuwa mbunifu kutatua matatizo ya chi yake!!!!Nilimcheki jana,nilishikwa na hasira mpaka nilibadilisha chanel ya kuangalia.I hate hate hate
<br />jana JK aliwaalika viongozi wadini kufanya nini .....sijui! Akwawaomba waimboee nchi iwe na amani,usatawi .......mvua inyeshe na mabwawa ya maji yajae mgao wa umeme uishe!Alipoanza kuongelea mabwaya yajae alianza kutabsamu na alipofikia kutaja mgao akacheka kwa nguvu mapka mishipa ikamtoka usoni ,na kwa mshangao viongozi wa dini nao wakac heka kwa nguvu ,sijui walichekeshwa au walimcheka! Cha kusikitisha ni ile hali ya kucheka akilitaja janga kuu linalorudisha nyuma uchumi wetu .....Ni hulika gani hiii ya kuchekacheka pasipo stahili! au ana ugonjwa wa kucheka ,au kujichekesha,au kuchekacheka!