Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 68
mkuu hii too harsh!!Mfano David akimwambia Jk kuwa dawa ya kupiga mwereka ni hii ya ku cameroniwa jamaa atakataa kweli? I wish Jk atakuwa jasiri
Mpe hi Malkia
Alafu usikose piga picha pale kwa mnara wa saa ili tujue kweli ulikuwa uko!
Sipati picha lundo la watu alio enda nao uko!
Ni matumaini yangu sasa kwamba tutaingia awamu ya pili ya kujenga hoja kwenye thread hii. Bado sijaona tofauti ya anayelalamikiwa (JK) na wanaotaka apunguze safari.
Hakuna ushauri wa maana zaidi ya kujaza post za kejeri.
Bado naamini safari za Jk zina faida tatizo ni taarifa kwa wananchi kueleza faida zake. Jk hawezi kuwa mjinga kiasi hicho kama angekuwa anapata hasara.
Tumekuwa tunaangalia zaidi matumizi ya safari hizo kuliko mapato yanayopatikana. Kuna gap kati ya taarifa ya matumizi na mapato kwenda kwa wananchi. Hii ni kazi ya watendaji kutupa taarifa hizi. Taarifa hizi si mali ya Ikulu ni mali yetu. Hili ni fumbo kama litawekwa wazi wengi tutashangaa.
atatulia lini jamani?!
Hivi anafuata nini huko tena jamani!?? arghh i'm gonna be sick! kwa nini asitulie nyumbani??