JK aapisha Baraza la Mawaziri

JK aapisha Baraza la Mawaziri

dosama

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2010
Posts
912
Reaction score
959
Source TBC 1

Jk anaonekana bado anamawazo lile tabasamu lake halipo kabisaaaa mda wote kanuna
 
Ndio ameamua kuwaapisha hivyohivyo mawaziri WAKE.
 
Naona mawaziri wanaapishwa. Wakuu naombeni jibu mbunge kuanza kuapa au waziri? Ninavyofahamu mimi wabunge kwanza, spika, waziri mkuu kisha mawaziri.
 
Hili nalo si jambo la kujivunia sana, kwani watu wamechoka na maisha na mahitaji yao kwa sasa si habari za kuapishwa kwa mawaziri n.k
 
Naonakatabasam alipomwona dada mmoja sikumbuki yupo wapi
 
Hamis Juma swedi kagasheki

Wizara ya maliasili na Utalii anaapa
 
Tanganyika yangu inaongozwa na watu wa Hovyo kwa hiyo nategemea hata Mawazri watakuwa wa Hovyo kama mkuu wao
 
Back
Top Bottom