Jiwe siyo binadamu!

JIWE HUU SIO UJANJA, NI UJINGA WA KIWANGO CHA STIGLERS GAUGE... KUNA UHARAKA GANI KUHAMIA DODOMA KAMA MIUNDOMBINU BADO HAIJAIMARIKA?
KWANI DAR MMEFUKUZWA?
KUNA NINI HAPA KATIKATI KINAFICHWA MAANA SIO KWA UHARAKA HUU...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi ni drama za serikali za kiafrika na serikali za kimaskini.

Wanataka kuonesha hawana mchezo kwenye mambo ya kijinga ilihali kwenye mambo ya maana hawana habari.

Wangekua serious kiasi hicho leo hii kila kijiji kingekua na maji safi, huduma za afya, kila shule ingekua na maabara.

Waafrika ni tatizo kwenye dunia hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi sheria za mambo ya ujenzi hazikatazi jengo kutumika kabla halijaisha?

Hata bila sheria, ubinadamu pia unatukataza kutumia jengo ambalo bado linajengwa...
 
Business partners lazima wakae karibu

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Si wanajichelewesha makusudi wabaki Dar zaidi, sasa wameipata fresh. Muda mwingine wataendana na muda waliyopangiwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…