Jiwe johari

Jiwe johari

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
11,084
Reaction score
14,564
Wakuu nani ana idea ya soko la hili jiwe nimeliona mahali liko hivi

1.linarangi mingi kama rainbow

2.kwenye giza linangara(mimi sikulitest maana nililiona mchana)

3.linauhai linahifadhiwa kwenye unga na linawekewa mayai baada ya siku 3 yanatoka yakiwa matupu.(niliona mayai mawili matupu ndani na hayajavunjwa)

Mimi nilifata mawe ya vito ya kawaida kijijin congo ya kalemie .basi ndo nkadokezwa ishu hiyo na wanajipanga kulileta kwa matajiri Dar .

Nimejaribu wauliza mmelipataje ? Wanadai huwa linapatikana yakifa majoka ya kishirikina ya milima mirefu hukutwa mtoni.

Hebu kwa mnaojua niambieni huwa ni kwel na kama ni biashara inauzwa shilingi ngap.
NB: SIO BIASHARA YANGU NIMETAKA NIPATE KUJUZWA MAARIFA TU .USIJILETE INBOX SEMA TUJUE WOTE HAPA .Wanaotakaga inbox matapeli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom