Jiwe gizani

josephdeo

Member
Joined
Nov 23, 2015
Posts
96
Reaction score
208
Sura yako ya ucheshi ndio tatizo pekee unalo niacha nalo. Kwani sidhani kama ni vyepesi kuiondoa mawazoni.

Nilikuwa sifahamu ni nini nahijati kwa mwanamke mpaka pale macho yangu yalipo hifadhi kumbukumbu hizo kichwani mwangu.

Toka hapo nimekuwa nikipata msukumo ndani yangu. Ya kuwa wewe ndie aina ya mwanamke ninaye kuhitaji. Sidhani kama unajisikia namna kama mimi ninavyo jihisi. Lakini tunaweza kujihisi hivi wote ikiwa tu utaruhusu nikupende na kunikabidhi majukumu ya kuuhifadhi moyo wako.

Naweza kusema wewe sio wa kwanza ila unaweza kuwa wa mwisho kwangu tafadhali nipe nafasi. Ili nikuoneshe mapendo yaliyojaa ndani mwangu.
 
Tatizo nini ndugu? Au we DOMO ZEGE? Sema naye direct akuelewe. Huenda unajichelewesha bure, bahati ni yako!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…