mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,765
hahahaaBado niko hapa najiuliza KWANINI!!!
Hahahahaa,,,,,,,,, ule like yakoEti wewe gbefa kwanini warudia punyeto wakati kila siku unasema unaacha unakaaa miezi mitatu unarudi kule Kule kwa nini!?
Duu haya maswali umenilenga mimi tena nahisi unanifahamu, ila niwe mkweli sijui ni kwanini maana niliapa kutokujihusisha tena na anasa.
Jiulize kwa nini?
Unadhani kwa nini?
Tunajiuliza kwa nini?kwanini inakuwa hivo?
nafkiri ni mapungufu tulionayo wengi wetu.ukiachana na mambo ya saikolojia na mengineyo ya kufanana,wengi tumekua na desturi potofu ya kuhitaji kutajirika badala ya kufanikiwa.Umewahi kusoma kitabu hadi nyele zikasisimka ukaona maisha yamebadilika baada ya muda mfupi au siku kadhaa ukajikuta uko vilevile...
Jiulize ni kwanini...
Umewahi kusoma vitabu vya kanuni flani za maisha, ukaandika kwenye karatasi au notebook au ukasave kwenye simu mbinu,mikakati kanuni mpya za maisha ila baada ya Muda au siku kadhaa ukajikuta ukumbuki hata mara ya mwisho Hulipitia lini...
Jiulize kwa nini...
Jiulize kwa nini, Ukimsikiliza motivational speaker akisimulia story za mafanikio, akionyesha magumu aliyopitia na kufanikiwa sana ila baada ya wiki kama usipomsikia tena utajikuta uko vile vile...
Jiulize kwa nini...
Umewahi kuhudhulia semina ya kusisimua kuhusu biashara au kilimo baadae ukachukua hatua ya kuingia kwenye uhalisia ndani ya muda mfupi hamasa ikakata, jambo likawa haliFanikiwi au ukaishia njiani...
Jiulize kwa nini...
Umewahi kusema Kuanzia Leo sifanyi kitu flani tena...
Baada ya Muda flani ukajikuta ndio unakifanya zaidi, au baada ya kuhudhulia nyumba za Mungu na kuchomwa sana na neno ukasema sirudii tena? Kuanzia leo naanza kufanya 1,2,3?
Sirudi nyuma tena?
Hata mwezi haujaisha ukajikuta kulekule?
Jiulize kwa nini?
Unadhani kwa nini?
Nimekula mkuuHahahahaa,,,,,,,,, ule like yako
sawa, nilivyokuelewa ni kwamba ukitaka kumaster kitu kipya ni lazima kukirudia rudia na ku practice frequently, ndio kusema utaweza ku cover..! sahihi hapo?Tunajiuliza kwa nini?
Ila jibu la awali nikwamba mental programming na reprogramming sio kitu cha kushtukiza siku moja...
Tabia mpya inahitaji strughle na kufahya hicho kitu sahihi kwa kurudiarudia hadi kiwe ni tabia yako mpya sio kwa kusoma na kukimbilia practice ukitegemea matokea mapya kwa mental programming ya zamani...
angalau, ni mahala pa kuanzia.sawa, nilivyokuelewa ni kwamba ukitaka kumaster kitu kipya ni lazima kukirudia rudia na ku practice frequently, ndio kusema utaweza ku cover..! sahihi hapo?
hahahaa...Eti wewe gbefa kwanini warudia punyeto wakati kila siku unasema unaacha unakaaa miezi mitatu unarudi kule Kule kwa nini!?
[emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56]hahahaa...
Jiulize kwa nini...