Ushauri huu naishi naoHii ni kwa wale ambao hawawezi kufanya kitu chochote bila kushirikisha marafiki.
Umezungukwa na kundi la watu kiasi kwamba huna maamuzi yako binafsi.
Ukipata pesa unawashirikisha, ukipata mchumba unawashirikisha, unajenga unawashirikisha, unataka kuanzisha biashara unawashirikisha.
Mwenyewe unadhani wanafurahia mafanikio yako kumbe baadhi yao wanatamani usifanikiwe kuwazidi wao.
Na ndio maana kuna baadhi ya watu usipowashirikisha mambo unafanikiwa,lakini ukiwashirikisha tu hufanikiwi.
Ni wakati wako sasa Jitenge nao kidogo na kuwa busy na shughuli zako uone watakavyokasirika maana hawatajua nini kinaendelea juu yako.
Hii ni kwa sababu unawaambia kila kitu, mfano ukigombana na mke wako, mme wako, au wachumba zenu.
Kumbe wanatamani muendelee kugombana tu, au uendelee kufeli tu kwenye mambo yako.
Hebu jaribu kukaa kimya kidogo kwa manufaa yako mwenyewe na mambo yako yatanyooka mwenyewe utashangaa.
Sawa mama wacha niendelee kuandaa popcorn nijifunze zaidi ,maana adui binadamu anahitaji moyo sanaYapo mapya usiache kufuatilia please 🙏
Unaongeza nae Sasa hivi,mambo Yako yashasambaa kama mvua ya masika!Ni ukweli mtupu 100%. Hii ndio principle yangu katika maisha, inafuatiwa na ya kutokuongea issue yangu mpaka nimeimaliza kabisa. Wanadamu cheka nao lakini kua makini wengi wao si wazuri kwako.
Haswaa, hii kitu huku mamtoni inatokea sana, maana kiukweli watu weusi tumeumbwa hatupendani ndio maana bara la Africa liko nyuma kimaendeleo kuliko mabara yote. Sijui ni kutokana na umaskini tuna roho mbaya kwa maendeleo ya wenzetu.Unaongeza nae Sasa hivi,mambo Yako yashasambaa kama mvua ya masika!
Asante!Hii ni kwa wale ambao hawawezi kufanya kitu chochote bila kushirikisha marafiki.