Jitambue...

served

Senior Member
Joined
Nov 6, 2013
Posts
168
Reaction score
58
habar zenu "si kila mwanamke anafaa kuwa mke na wala si kila mwanaume anafaa kuwa mume jitambue unataka nini" ujumbe waleo.
 
habar zenu "si kila mwanamke anafaa kuwa mke na wala si kila mwanaume anafaa kuwa mume jitambue unataka nini" ujumbe waleo.

Kila mwanaume amezaliwa ili aoe na kila mwanamke amezaliwa ili aolewe hizo sababu zako umezitoa wapi? Hafai kuwa mke au mme kwako lakini kuna sehemu anapofaa. Na wewe jitambue
 
mada nyingine unajuta kwanini umezifungua
 
Kila mwanaume amezaliwa ili aoe na kila mwanamke amezaliwa ili aolewe hizo sababu zako umezitoa wapi? Hafai kuwa mke au mme kwako lakini kuna sehemu anapofaa. Na wewe jitambue

Tayar huyo kashajitambua! Nafikir hajui Kua mbaya kwako mwenzio hajitambui?
 
hii imefanana na msemo
usemao kila mwanaume anaweza kuwa baba lakini si kila mwanaume anaweza
kuwa baba mzuri same applies kwa mwanamke(keep other things
constant)
Kila mwanaume
amezaliwa ili aoe na kila mwanamke amezaliwa ili aolewe hizo sababu zako
umezitoa wapi? Hafai kuwa mke au mme kwako lakini kuna sehemu anapofaa.
Na wewe jitambue
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…