ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,699
- 9,462
HABARINI WADAU
Muda mwingi nakuwa mtazamaji na msomaji wa thread za wadau humu ndani sijaweka chapisho kwa muda sasa tplakana na kubanwa na shughuli nyingi sana za kijamii
Leo napenda kuongelea jambo moja ambalo ni "KUJITAMBUA KUA UKO DENJAZONE"
mwanadamu tumeumbwa tofauti sana wako wenigine dizaini tofauti kuhusu akili, mioyo, na kimaisha
kwanini napenda kusema jambo hili la hasha napenda niseme jambo kuwa tuko kwenye mchakato wa utafutaji maisha, yaani riziki zetu na kila mmoja ana njia zake za kutafuta, wako wanaotafuta kwa uzuri na wengine kwa ubaya ilimradi tu wapate riziki za maisha yao
Ila leo ningepependa nisema jambo je unatafuta riziki kwa njia ipi je kwa njia halali au mbaya?
wako wanaotafuta njia mbaya na hao mwisho wao unakuwa mbyaya ni vyema ukajinasua na kutatfuta kwa uzuri tu ndo vyema
Tuko dakika za mwisho za denjazone je kijana umeshajiset kivipi kimaisha au je umejiwekaje kutoka katika hali ulioyonayo ya utafutaji na kuwa juu kimaendeleo? unatambua kuwa miaka inasonga wala hairudi nyuma, UMEJIPANGAJE au uko katika hatua zipi za utafutaji wa maisha yako hususani kimaendeleo , kiuchumi , kiafya ama kiakili pia
TAMBUA KUWA UKO KWA HATUA ZA UTAFUTAJI WA KIHALALI NA KUTOKA KATIKA HALI YA UDUNI
JITAMBUE NA CHUKUA HATUA TENA
Wasalaamu
LADYF