Mbuty mim nimeshajitambua
Mim nimejikita ktk kuweza kuelimisha vijana wenzangu hapa mtaani hasa kuhusu madhara ya ngono zembe na pia kubadili mienendo yao na wao kuwa na fikra chanya na si fikra hasi
Unampigia mbuzi gitaa,ama unatwangwa maji kwenye kinu tena your wasting your time mkuu unabeba maji kwenye tenga INAWEZEKANA WEWE PIA UJAJITAMBUA UNAFANYA NINI PIA.usipobadili namna ya kuwasaidia hao vijana utakuwa kama wale wanasimamaga katika vituo vya daladala kuwahubiria watu,wakati watu wako bize kugombania magari wafike kwao,Ingekuwa yale mabas ya kanisa yanatolewa kubeba watu vituoni bure halafu mahubiri yanaanza wangesikilizwa sana.
Ukiwa kama great thinker ulitakiwa utafute namna ya kuwasaidia wajiajiri ,ngono zembe inatokana na wao kukosa shughul ya kufanya.wape elimu ya ujasiria mali.watafutie mikopo utaona utavyofanikiwa katika kampeni yako ya kuwaepusha na ngono zembe.