ebbyramadhani
Senior Member
- Jan 5, 2017
- 101
- 109
Hicho ndicho mnachotaka, habari ya kufikishwa ni visingizio tu + porojo.watafute na pesa pia
ndiyo pesa muhimuHicho ndicho mnachotaka, habari ya kufikishwa ni visingizio tu + porojo.
Pesa muhimu ndo kutaka za mtu, mtafutie zenu kwani sisi hatuna kazi nazo?ndiyo pesa muhimu
ndiyo tunataka zenu maswala ya kutuletewa mambo sijui ya kukojozana nanai kazema anataka hayo? pesa zenu tamuPesa muhimu ndo kutaka za mtu, mtafutie zenu kwani sisi hatuna kazi nazo?
Yani wewe nadhani pesa ndo uwa zinakufikisha kileleniwatafute na pesa pia
ha ahha kabisa pesa nzuri banaYani wewe nadhani pesa ndo uwa zinakufikisha kileleni
Hapa dada Sina aiseeha ahha kabisa pesa nzuri bana
kaka unanikosea kwani me nakuombaga pesa ? unataka niwe na boyfriend hawana pesa?Hapa dada Sina aisee
Kwa hiyo tukisema mnajiuza, mtasema mmetukanwa?ndiyo tunataka zenu maswala ya kutuletewa mambo sijui ya kukojozana nanai kazema anataka hayo? pesa zenu tamu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Habari jamani
Unafaham watu wengi tunagongewa kwasababu hatuwafikishi wapenzi, wake zetu. Namaanisha mara nyingi mapenz yanapoanza ndo huwa yanakua moto moto. Unampa penzi mpenzi wako hadi yeye mwenyewe anakukubali kwa game zako.
Ila kadri siku zinavozidi kwenda mara nyingi tunapunguza dozi. Unaweza ukapiga kimoja halafu basi unalala. Inaweza ikawa kwasababu ya kuzoeana na kumuona mpenzi au mkeo wa kawaida au uchovu wa shughuli za mchana kutwa.
Ile ni mbaya sana maana tayari mwenzako anakuwa kashazoea penzi la uhakika na wanawake wana tabia ya kuhadithiana baadhi ya matukio. Hapo ndo anapopata ushauri wa kujaribu nje ili dozi itimie. Na wanaume tulivyo, ukijua huyu ni mke wa mtu au mpenzi wa mtu utataka usimamie kucha ili umkoleze.
Ndo hapo unapokimbiwa kwa uvivu wako. Jitahidi angalau kila Jumapili ndo iwe siku ya kupiga zile mechi ambazo yeye mwenyewe anaomba poo. Hapo mtaenda sawa, lakini si kumuacha muda mrefu unagusa gusa tu
Miss Chagga sio wa hivyo sema basi tu anatetea makahaba uchwara.Hapa dada Sina aisee
mmh ni namna tu ya kumaanisha mambo... we utasema tunajiuza mwingine atasema anatoa shukrani ,, mwingine atasema ni haki yake kutunza mpenzie unaonamnavyotofautiana... kwa hiyo maana yako ni yako na si ya mwingineKwa hiyo tukisema mnajiuza, mtasema mmetukanwa?
Bora ule za kaka yako.. Wasiwasi wangu ni malipo ya hizo pesa za watu.. Nisije nikakuokota mtoni ndani ya guniakaka unanikosea kwani me nakuombaga pesa ? unataka niwe na boyfriend hawana pesa?
Anatoa shukurani?? Kwa maana hiyo shukurani ya penzi ni pesa?mmh ni namna tu ya kumaanisha mambo... we utasema tunajiuza mwingine atasema anatoa shukrani ,, mwingine atasema ni haki yake kutunza mpenzie unaonamnavyotofautiana... kwa hiyo maana yako ni yako na si ya mwingine