Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,611
- 21,135
Tunapoelekea siku ya uchaguzi, kuna scenario kadhaa zitakazotokea kama ifuatavyo:
1) Kuna watu iwe mvua, jua, homa, foleni etc watavumilia na kupiga kura kuwachagua viongozi wanaowataka
2) Kuna watu waliojiandikisha ila hawatopiga kura kwa kuwa wapo nje ya Nchi
3) Kuna watu wamejiandikisha ila hawatopiga kura kwa kuwa wapo Tanzania lakini mbali ya vituo walipojiandikisha
4) Kuna watu wamejiandikisha ila hawatopiga kura maana wapo busy na hawapo tayari kupanga foleni
5) Kuna watu hawatopiga kura kwa kuwa wanaamini Magufuli keshashinda tayari na hatoachia madaraka kwa namna yoyote ile
6) Kuna watu hawajajiandikisha popote na hawana haki ya kupiga kura
Kama Great Thinker, jitafakari upo kundi lipi. Kama upo kundi nambari 5 na 6 ila kila siku upo busy humu kupiga kelele such as “ #Magufuli5Tena” au “#NiYeye”.... bora ukae kimya tu