Hypolite
JF-Expert Member
- Jul 6, 2017
- 235
- 484
Kadri mwendo unavyozidi kua mgumu wagumu huendelea.
Wanariadha wa mashindano ya magari na baiskeli hujipatia point za ushindi dhidi ya washindani wenzao kweny kona kwa kuendesha kwa kasi zaidi kweny kona kwa sababu kweny tambalale kila mtu huendesha sawa na speed ya kila mtu anayeshiriki riadha hivo point za ushindi zipo kwenye kona kwa kuendesha kwa kasi zaidi ufikapo kweny kona~Vusi Thembekwayo.
Kuna mambo fulani fulani kweny biashara ambayo kila mmiliki wa biashara au mwanzilishi wa biashara anayajua kwa kua yanafundishwa kila sehemu iwe kweny business school i.e huduma nzuri...lugha nzuri, mambo kama haya yanatupa matokeo sawa na washindani wetu.
Neno washindani ni over rated kama tunajua washindani wapo basi hatufanyi jitihada inayotakiwa kuhakikisha tunajiweka katika nafasi iliyo bora yenye kututofautisha na wao ili kupata matokeo tofauti na wao.
After hizo highlights basi nkukakaribishe kuona nini tunakifanya.
Tulizoea kufanya artwork nyingi za wapenzi, familia, harusi, mtu akisherehekea birthday ila kuna siku nilipewa na boss mmoja mweny kampuni moja yakukuza brand&biashara katka pigapiga story baada yakudeliver kazi yake alonipatia basi alipendezwa na kile tulichokua tunajishughulisha nacho na baadae akawa muwazi kwangu kua "Hata hii artwork uliyonifanyia naenda kumpa mteja wangu wa thamani(Die hard loyal client)ambaye nmekua nikifanya nae biashara kwa muda mrefu"
Basi nilitoka pale nimejifunza kujishikamanisha na wateja kwa ukarbu
Na Kwa kutambua kua hili ni jukwaa la biashara na mara nyingi content/bidhaa za humu ni zile zinazoongeza thamani katika biashara zetu katika perspective mbalimbali basi sina budi kukutambulishia artwork products tufanyazo ambazo kwa namna moja ama nyingine zaweza kua ni zawadi mbadala kwa mshirika wako kibiashara, Mteja/wateja wako, mfanyakazi/wafanyakazi wako wa thamani
ili kusupport biashara na kuongeza ufanisi& morali kwa watu wako ofisini tunakufanyia artwork yako/zako kwa punguzo na as a talent tunascrifice 45% ya bei zetu nakilichobaki katika bei zetu ni gharama ya uzalishaji bidhaa na kifuta jasho kwa kipaji.....kusanifu na kuframe artwork kwa punguzo la 45% bei zetu zitasimamia
A2 size (42.0 x 59.4cm) black&white, pen na colored artwork 150000Tshs....samples[emoji1484]