Jirani zetu Watanganyika

askari wa kenya azidiwa na pombe ya haramu ya kienyeji.

 
police wa kenya wakiwa chonjo/rada 24/7 kuhakikisha alshabab hawafanyi shambulizi.LMAO
 
Hehehe!! kadoda11 polisi wenu kwa haya masuala ya ngono hawajambo



 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Achanga! At least we do that in privacy, just out of curosity.
Lakini sasa hii...ni kama huyo ofisa anamuimbia huyo kijana mtanashati ile wimbo ya Brenda Fassie,''songea nikubambe, songea nikubusu...''
:lol:

Tena mchana peupe ati.
But nyi watu ni perverts. Mi mara ya kwanza nlipoona hiyo picha sikuona chochote cha ajabu. Ila the look on that officers face tho!
Ati out of curiosity? WAPI! Wakenya i bet wanaongoza kwa kujichapa pia! Si unajua venye wake zenu wamebeat na kuunga hata hawavutii unaona bora ujichape tu. Au umange kondoo! Ndio zenu tushawazoea!
 
Jirani zenu WATANZANIA! Hamna nchi inayoitwa Tanganyika. U need some schooling bro!

history kenya nilisoma nchi ya zanzibar na serikari yake ,rais na kadhalika na tanganyika nchi kando na kwa sasa mzee mmoja kaleta katiba kutambua haya lakini imo pause kwa sasa hadi baadaye!!!
 
history kenya nilisoma nchi ya zanzibar na serikari yake ,rais na kadhalika na tanganyika nchi kando na kwa sasa mzee mmoja kaleta katiba kutambua haya lakini imo pause kwa sasa hadi baadaye!!!
We utakuwa either ulisoma before 1964 au ulisoma shule za 'sogea nikae' huko kijijini. Nimekaa sana na wakenya na wanajua nchi inaitwa 'Tanzania' sio 'Tanganyika'......kawadanganye wengine hapa umeumbuliwa!
 
Namwonaga kila siku pande za Kino Manyanya huyo askari ila inaonesha ni mchapa kazi mzuri ndio maana kila siku yupo kazini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…