Jirani Yetu Mtata Sana

Upweke jamani wakati mwingine unasababisha haya mambo.
 
naONA BAADHI YA WACHANGIAJI HAPA HAWAJAELEWA HUYU AMEANDIKA NINI!! Alichoandika hapa ni kuwaomba jirani zake waongeze kelele wakati wa kufanya majamboz. kwa sababu wao wakianza na yeye anapiga punyeto kwa mzuka wa sauti zao. sasa siku hii sauti zilikuwa chini sana akalazimika kuweka kikombe ukutani ili asikie vizuri( wale wa mwaka 47 kama mimi mtakumbuka tulikuwa tunafunga uzi na viberiti halafu mmoja anasima ha pa na mwingi anakwenda mbali mnaiita simu!!).. Sasa hii ilimpa tabu sana kwa sababu ilimbidi mkono mmoja ashilikilie kikuza sauti!! kaaazi kwelikweli majuu!
 
simu ya upepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…