Jirani yangu simuelewi

ulichezea bahati kabisa ungejiangusha hata kidogo ili umsogeze karibu na huo ndio ungelikuwa mwanzo mzuri.
 
Binadamu aliyefiti kiafya huwa ana semi hai nyeupe za damu zipatazo 500 had I 1500,semi hai nyeupe za damu ndiyo king a ya mwili na kitaalamu huitwa CD4,hivyo zikipungua chini ya 500 yaani kuanzia 499,maana take ana vvu.Maambukizi mengine so yanatibika tu.Kula mzigo kama CD4 iko vizuri
 

Yohana M M umetisha jamaa so wewe ungempima faster hapo hapo au yaani inakuwaje
 
C ungeongea Tu
 
nimesoma mkuu ww si alivyokuja kukufungulia geti na alivyovaa ukaweweseka mpk ukakosa usingizi. au nimeelewa vibaya mkuu?

Swadakta umeelewa vizuri sema sijajuwa wewe kama wewe ungeonelea nini kilikuwa kitu mubashara kitokea hapo
 
Muombe mlale wote mwambie chumbani kwako kuna mauzauza unaogopa kulala peke yako....
 
hahahahahahah mkuu unakosea pombe nimetumia mwaka wa 30 huu haiwez nipeleka unavyohis
Najaribu kuimagine mwaka wa 30 huu unatumia pombe,hapo sijaweka miaka uliyosoma primary mpaka o level,hivi ni nin kinakusababisha mpaka muda huu kuwa bachela!?...
 
hiyo ndo inaitwa MIHEMKO.....tena na pombe ndo kabisa....ULIHEMKWA SA HV ITAKUA ISHAISHA.....
 
anatafuta unafuu wa kulipiwa kodi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…