Jirani yangu simuelewi

Inaonekana hata sasa unapombeka maana kushindwa/kuacha kumfungukia mtoto wa kike ukaja kufungukia huku jukwaani ni ulevi.
 
mkuu mbona povu? unakusanya data? maana unataka kila mtu atoe maoni uyatakayo?
 
Hapo ni wewe tu kama anajiheshim asingevaa ivo au kama nawe unajiheshim angejifikiria mara mbili mbili kufungua geti akiwa hivyo kwa ufupi anajua hauna noma ni mitego ya kike tu labda kakuzimikia au kuna kitu anataka jiongeze tu utakavyoona inafaa wewe
 
Inaonekana hata sasa unapombeka maana kushindwa/kuacha kumfungukia mtoto wa kike ukaja kufungukia huku jukwaani ni ulevi.

We kete ngumu hebu tulia uandike upya siamin kama ni maneno yako haya
 
mkuu hebu ngoja eee, so mimi sijiheshim ?
 
mkuu mbona povu? unakusanya data? maana unataka kila mtu atoe maoni uyatakayo?

Skia mkuu kwanza kwa taarifa yako wewe mawazo yako siyataki maana hazikutoshi mkuu wangu wewe pita tu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…