Jirani yangu Samson RIP


ulisemwa alibebwa akushindwa kubeba nafasi ya moyo wake
 
Hubby isingejuwa Samson ningekuwa Sister Sky Eclat wa Shirika la Maria Consolata
Mungu mwema saizi ungekuwa miongoni mwa wanafamilia ya Consolata missionaries .....ila tunakukaribisha bado kuwa mmisionary mlei(WAMISKO)
 
Niliona raha kumuona na kuongea nae. Si kuwa ninafahamu kupenda wakati ule. Nilikuwa ninamuangalia kama amerudi kutoka kazini, nikimuona ninampa shikamoo na kuondoka
Wivu sina ila roho inauma
 
Samson ana dhambi kubwa ya kujiua watu tuna majanga mpaka tunashindwa kusimulia na bado tunaishi leo nijiue wakati muda ukifika nitakufa??

Ahaaa nina ndoto za kwenda mbali sana kuna sehemu natamani kufika nijionee kwa macho yangu leo nijiue? Ahaaaa

D........
 
Jirani yako samsoni alisahau HATA YEYE ALISAIDIWA NA NDUGU ZAKE KUPATA KAZI BENKI KUU labda kuna walioporwa nafasi ya ajira akapewa yeye..LAKINI YEYE MOYO ULIMUUMA SANA MTOTO WA KIGOGO KUSAIDIWA NA NDUGU ZAKE KUPOKONYA NAFASI YA KWENDA MASOMONI..
Samsoni wako hakujiua kwa sababu hiyo .. dig deep

Pole na samahani kama nitakuwa nimetumia maneno makali..
 
Ndugu zake walitueleza kuwa alikuwa ni mtu wa kukata tamaa sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…