Nahisi kuna kitu ulimboka WEWEAlikuwa na usongo sana na shule, aliumia sana kudhurumiwa nafasi yake
A sad story.Samson alikuwa jirani yangu, tulisali kanisa moja. Wakati huo Nikita form one Samson alalishamaliza form six. Alikosa nafasi ya kujiunga na chuo hivyo ndugu zake walimsaidia kupata ajira Benk Kuu.
Enzi hizo nikikutana na Samson aliniuliza unataka kufanya kazi gani ukiwa mkubwa? Nilimwambia mimi ninataka kuwa mtawa wa kanisa Katoliki. Siku moja alinikalisha akanieleza kama uifikirie dunia, hivi ni kweli uko tayari kuyatoa maisha yako hata mama yako akiugua ushidwe kumuuguza?
Samson alikuwa mcheshi na mpole, alinipenda sana lakini kwa tofauti ya umri wetu alichuja sana maneno ya kuniambia.
Nikiwa form three nilipata habari kuwa Samson alikunywa sumu na kujiua. Kisa kikiwa nafasi yake ya kwenda kusomeshwa na bank kupewa mtoto wa kigogo.
RIP Samson.
Wivu sina ila roho inaumaSamson alikuwa jirani yangu, tulisali kanisa moja. Wakati huo Nikita form one Samson alalishamaliza form six. Alikosa nafasi ya kujiunga na chuo hivyo ndugu zake walimsaidia kupata ajira Benk Kuu.
Enzi hizo nikikutana na Samson aliniuliza unataka kufanya kazi gani ukiwa mkubwa? Nilimwambia mimi ninataka kuwa mtawa wa kanisa Katoliki. Siku moja alinikalisha akanieleza kama uifikirie dunia, hivi ni kweli uko tayari kuyatoa maisha yako hata mama yako akiugua ushidwe kumuuguza?
Samson alikuwa mcheshi na mpole, alinipenda sana lakini kwa tofauti ya umri wetu alichuja sana maneno ya kuniambia.
Nikiwa form three nilipata habari kuwa Samson alikunywa sumu na kujiua. Kisa kikiwa nafasi yake ya kwenda kusomeshwa na bank kupewa mtoto wa kigogo.
RIP Samson.
Ambapo unaona sio jambo la kheri?Hubby isingejuwa Samson ningekuwa Sister Sky Eclat wa Shirika la Maria Consolata
RIP.Samson alikuwa jirani yangu, tulisali kanisa moja. Wakati huo Nikita form one Samson alalishamaliza form six. Alikosa nafasi ya kujiunga na chuo hivyo ndugu zake walimsaidia kupata ajira Benk Kuu.
Enzi hizo nikikutana na Samson aliniuliza unataka kufanya kazi gani ukiwa mkubwa? Nilimwambia mimi ninataka kuwa mtawa wa kanisa Katoliki. Siku moja alinikalisha akanieleza kama uifikirie dunia, hivi ni kweli uko tayari kuyatoa maisha yako hata mama yako akiugua ushidwe kumuuguza?
Samson alikuwa mcheshi na mpole, alinipenda sana lakini kwa tofauti ya umri wetu alichuja sana maneno ya kuniambia.
Nikiwa form three nilipata habari kuwa Samson alikunywa sumu na kujiua. Kisa kikiwa nafasi yake ya kwenda kusomeshwa na bank kupewa mtoto wa kigogo.
RIP Samson.
Ungeolewa na roho mtakatifuNingekukosa wewe hubby
Hata kukosa nafasi ya kwenda chuo Samson aliona anaonewa sasa hata nafasi ya kusoma alikata tamaa. Niliumia sana kusikia kifo chake.RIP.
Kuna msemo wa Kiingereza unasema "When life gives you lemon, make lemonade".
Yani, maisha yakikupa malimao, tengeneza juisi ya maji ya malimao, usilalamike kwamba hujapewa machungwa.
Mtu kajiua hajapewa nafasi kwenda kusoma kutoka kazini kweli? Mbona hojakama ina utata? Wakati kuna watu hata kazi hawana.
Mimi ningekuwa na roho ya kujiua kwa sababu watu hawajanijali ningekufa siku nyingi.
Wengine hatukupewa nafasi za kuja Marekani na mtu yeyote, tumepigana kivyetu mpaka sio tu tumeenda Marekani, bali Marekani imetufuata yenyewe, mpaka leo raia wa taifa kubwa.
Sasa ningesema nijiue kwa sababu scholarship zinatokaza kujuana wakati tunaostahili tumebaniwa si ningekosa bata ninazokula sasa, ningekosa kutoa msaada kwa watu wengi ambao nawasaidia sasa?
When life gives you lemons, make lemonada.
I can vouch for that.
Kuna watu wako kama Donald Trump.Hata kukosa nafasi ya kwenda chuo Samson aliona anaonewa sasa hata nafasi ya kusoma alikata tamaa. Niliumia sana kusikia kifo chake.
Niliona raha kumuona na kuongea nae. Si kuwa ninafahamu kupenda wakati ule. Nilikuwa ninamuangalia kama amerudi kutoka kazini, nikimuona ninampa shikamoo na kuondokaA sad story.
Seems like ulimpenda pia Samson, katika hali yako hiyo hiyo ya "kitoto"
Ha ha ha hakika ulimpendaNiliona raha kumuona na kuongea nae. Si kuwa ninafahamu kupenda wakati ule. Nilikuwa ninamuangalia kama amerudi kutoka kazini, nikimuona ninampa shikamoo na kuondoka