jirani yangu kapagawa na mashetani

jirani yangu kapagawa na mashetani

Andrew Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2008
Posts
3,007
Reaction score
2,468
Nilipokuwa natoka matembezi usiku huu,saa nne na nusu,nikamwona jirani yangu,yaani anakaa nyumba ya jirani,anapiga kelele,anazungumza na sauti KAMA SIMBA,maneno aliyokuwa anarudia rudia ni"Niondoe katika hali hii. Mateso yamezidi" Nimesimama pale namsikiliza,halafu tena akatokea dada yake,naye pia kapagawa to a lesser extent. Basi,hatimaye nikakosa imani,nikakimbia kwenda nyumbani. Halafu baadaye nikarudi baada ya muda mfupi,huku nimebadili nguo,nimevaa joho langu la kutafakari. Joho jeusi kubwa,lenye mikono mirefu sana na hood. Mikauliza kuna nini,nikaambiwa yule ana mapepo na dada yake pia. Basi,baada ya kuongea kidogo,nikasema,bila shaka hii ni kwa ajili ya huu mwezi mpevu. Tarehe 20 July ilikuwa siku ya mwezi mpevu.
Nimefikiria yale maneno aliyokuwa anayasema,niondoe kwenye mateso haya. Remove this cup from me .Bila shaka mapepo yanamsumbua sana. Lakini that person is living in squalor. Ni hawa watu wana viwanja binafsi. Hawaguswi kama hawataki kuviuza. Kwa hiyo wanaishi katika vibanda besides rich people. Again I say nilikuwa nayafikiria maneno yake,niondoe kutoka kwenye mateso haya. Inawezekana kwamba mateso aliyokuwa anayazungumza ni pamoja na umaskini?
 
nimeona braging kwa mbali, so are u the rich au una kibanda
 
Hivi kule maeneo ya oysterbay yanatokea haya! au ni huku kwetu uswahilini....halafu mbona sijawahi sikia mzungu kapandisha mashetani kama yupo naomba ushuhuda hapahapa
 
mfuate leo na muongozane nae kwa Gwajima dili hilo uncle.

swissme
 
Back
Top Bottom