Jirani yangu ameumbuka....!!

sinafungu

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2010
Posts
1,527
Reaction score
868
kumbe baba nanihiiiiii ndo uko hivyo.......? ni swali toka kwa mke akimuuliza mumewe baada ya kufumwa akimchungulia mpangaji wake chooni, na mbaya zaidi kafumnwa na mwenye mke. nasubiri aibu imtoke anifahamishe anaona raha gani kuchungulia watu chooni.
 
ukiripoti kutoka eneo la tukio, ni wewe mfukunyuku nambari moja Sinafungu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…