umemaliza?Hivi mie huwa najiuluza hawa ambayo hutongoza dem au boi mtaana mmoja huwa wanaishi kwa raha kweli
Ahahahah mi mtaan kwangu nlikuwa nao 3 na wte wakaja juana haina shida wala gharama mchawi kiepe 2 nauli bigbom had magetoni.

Kwanini umruhusu akugande si wampiga chini tuweeeee wala sikushauri.... inakera sana hasa ukutane na mtu king'ang'anizi... utajihisi ushaingia kwenye ndoa kwa jinsi ambavyo atakuganda masaa 24