Kujitoa kwa kuwaibia maskini?Haya ni majungu watu wanajitoa kwa sababu ya taifa lao mnaanza majungu ya kuwachafua watanzania tuache majungu si mtaji, pambana kama mshikaji acha fitina na uzushi
Wewe utakuwa una zungumzia jino.Hili Jipu linatakiwa kupakwa Colgate. .
Nyie watu mbona mnakuwa wa ovyo kuliko ovyo yenyewe? Mtu anaelezea jinsi watu wanavyofisadi fedha za walalahoi bila kufanya kazi yoyote wewe unamwambie nae akaibe? Ni ujinga gani huu unaandika? Watu wenyewe hawafanyi ukaguzi wowote bali wamehonga fedha wakapewa tenda ya kukusanya fedha halafu wewe unaleta ujinga wakati watu wanaumia?Na ww anzisha yako omba tenda sio kuleta fitina
Bishana kwa hoja,mwenzio kaweka hoja na kaitetea kadiri anavyoweza.Wewe unaleta ulalamishi.Tuwekee hoja pingamizi kama unayo na uitetee tukuelewe,huu sio uwanja wa kulalamika.Haya ni majungu watu wanajitoa kwa sababu ya taifa lao mnaanza majungu ya kuwachafua watanzania tuache majungu si mtaji, pambana kama mshikaji acha fitina na uzushi
Mbona hili jipu ni rahisi kulitumbua kuliko munavyofikiria. Pigeni simu HM Revenue & Excise Dept na Consumer watchdog muwape details za hawa watu wawachunguze
1. Wamekata leseni ya kufanya hiyo kazi kutoka kwa Ministry of Transport?
2. Wanao wataalamu waliokubalika kufanya hiyo kazi?
3. Hiyo kazi wanaifanya kweli?
4. Wanalipa kodi kutoka kwenye kipato chao?
5. Fee wanayo charge ni proportional na kazi yenyewe?
Wao watawachunguza kwa kuwapelekea gari bovu na kwa ujinga wao watalipasisha. Wataishia hapo. Mimi nilifikiri kusafiri ndio kusoma kumbe bado mmelala tu. Am very dissapointed. Kama hamuiwezi hiyo kazi nipeni mimi hizo details zao nikufanyieni. Uliwahi kumsikia Mandela akilalamika kwa Peter Botha alipokuwa akinyanyaswa?