Mchumi90
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,089
- 1,297
Wakuu kama mnavyojua mitihani ya kidato cha sita imeanza Jana. Mitihani hii imevuja sana na sijui ni mbinu ya kuja kutuaminisha ufaulu umeongezeka?
Hii ni aibu kuanzia kwa waziri husika na management yote ya NECTA. Waliofanya Geography 1 leo jana maswali yalianza kusambaa tena kwa Whatsapp nikadhani labda ni fake lakini leo madogo wametoka wanashangilia kitu ni original kabisa...
Waziri husika anastahili kujiuzulu kwa tuhuma hii mbaya kwenye secta ya elimu....#shame on Necta....