Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
Jamani vilio kila kona. TTCL inawatafuna wananchi. Wanakusanya hela zao, hasa za internet na simu za mezani lakini hakuna huduma. Wiki mbili, hakuna internet, na watu waliolipa wakienda pale kuulizia huduma wanasemewa mbovu kweli kweli.
"Mkongo umeharibika. Tutawataarifu ikishatengnezwa" ukiuliza lini, unaambiwa Sijui
Dr. Magufuli, na Prof. Mbarawa, tunawaomba hilo kisu la utumbuaji liingie TTCL.
"Mkongo umeharibika. Tutawataarifu ikishatengnezwa" ukiuliza lini, unaambiwa Sijui
Dr. Magufuli, na Prof. Mbarawa, tunawaomba hilo kisu la utumbuaji liingie TTCL.