Jipu la Halmashauri ya Kishapu halijaiva au?

Brigedia Chan-ocha

JF-Expert Member
Mar 7, 2014
1,353
2,846
Mwaka jana Halmashauri ya Kishapu ilikumbwa na kashfa nzito nchini na kusababisha mjadala mkali na mzito mitaani, magazetini na hata Bungeni, taarifa zilisema kwamba, Halmashauri hiyo kwa ukaguzi wa CAG aligundua kwamba Watendaji wake walikwapua sh. Bilioni 6 na hazionekani, taarifa hizo baada ya kuvuma sana, taratibu zilianza kusahaurika miongoni mwa watanzania, sasa ni wakati sahihi wa kuliibua na kulitumbua hili jipu maana lilishaiva ila mtumbuaji ndiye alikosekana.

Tafadhari Simbachawene, itisha jalada la ukaguzi wa halmashauri hii ili ulipitie upya.
 
mbona wahusika walishaburuzwa mahakamani labda kama kesi haijamalizika.
 
Back
Top Bottom