Jipatie wireless internet isiyokuwa na kikomo

Jipatie wireless internet isiyokuwa na kikomo

Dmwa

New Member
Joined
Jun 20, 2017
Posts
2
Reaction score
1
Karibu ATEB TECHNOLOGIES tukuunganishie wireless internet isiyokuwa na kikomo kwa matumizi ya majumbani na maofisini.Tunauza huduma ya internet ambayo ni yenye speed kuanzia 1Mbps-100Mbps.

Kwa internet za majumbani tunauza 5mbps kwa Tsh 100,000 kwa mwezi na gharama za installation ni 200,000/=. Na kwa gharamaza za sehemu za biashara na ofisini tunauza 1Mpbs kwa 150,000/= kwa mwezi.

Pia tunatoa customer care kwa masaa 24 kunapokuwa na tatizo. Kwa taarifa zaidi wasiliana nasi kupitia simu no 0744670588. Ofisi zetu zipo PSSSF TOWER karibu na ofisi za TCRA.
 
Back
Top Bottom