Jipatie Water pump kwa 900,000/=

Nina king max inchi tatu nimenunua mpya Mwanza 350,000 na inasukuma maji mita 450.

Naomba ubora wa hii yako nikuunge mkono kama hutojali.
 
Mimi nimemtumia kwa umbali wa mita 200 tambarare, na kutoka mtoni hadi kwenye PUMP kuna mita 5 strait down.
Kuna mtu ana pampu ya kichina (honda) japo ni ya mda kidogo kabla mchina hajawa mchina pure kama wa leo (2013). Inapeleka mazi mita 173 tena kwenye muinuko. Lita 5000 inajaaa dakika 40-45. Mafuta petrol lita 1 na 1/4. (Ushauri kama mfuko unaruhusu do your own search tafuta pump za kijerumani/italy/urusi (japo sijuhi ili zoezi la ukraine kama aligusa huko). Kama mwenzangu na mimi nenda kariakoo 250-300k kamata pampu yako ya kichina kapige kazi.
 
Back
Top Bottom