Mie nadhani hoja kinzana zipo nyingi sana. Mfano hai ni eneo la Sumaye. Serikali imelichukua.Hiyo si hoja!
Muulize yule jamaa wa Victoria station na wengine wengi, walikuwa wanalipa kodi zote tena kwa fedha nyingi sababu thamani ya maeneo yao ilikuwa kubwa, walikuwa na hati na vielelezo vyote vya serikali lakini mwisho wa siku kwa kuwa haikuwa haki yao wamenyang’anywa umiliki na kurejeshwa kwa wenye haki.
Kwa hiyo kulipia kodi si hoja wala msijidanganye!