Jipatie viwanja kijichi - mgeninani kwa bei nafuu

sajosojo

JF-Expert Member
Apr 14, 2010
1,017
619
Viko viwili eneo la KIJICHI - MGENINANI kimoja ukubwa wake ni square meter 527 bei yake nh 20 mil na kingine ni square meter 480 bei yake pia ni mil 20. Gari linafika bila tabu yeyote. For more info and negotiation nichek 0713532322
 
a very interesting thread, too good to be true. 20ml bei nafuu! May be because of my poverty! May be its bei nafuu according to your definition on bei nafuu. Wale ambao 20ml ni bei nafuu changamkieni viwanja hvyo vya bei nafuu. (i stand to be corrected)
 
Viko viwili eneo la KIJICHI - MGENINANI kimoja ukubwa wake ni square meter 527 bei yake nh 20 mil na kingine ni square meter 480 bei yake pia ni mil 20. Gari linafika bila tabu yeyote. For more info and negotiation nichek 0713532322

Yaani high density ukiwa ukidondosha sindano jirani anasikia halafu 20m??/ Hivi tunafikiri 20m ni hela ndogo sana na bei nafuu eeeeeeh!!1
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom