nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,689
Nataka vile vya Willy Gamba.
Navitaka sana hivyo
Nimepitwa na zoezi la mlimani city nawezaje kuvipata kwa sasa?
Habari zenu humu ndani?
Kwa mara nyingine tena naleta tangazo juu ya vitabu vya Joram Kiango ambavyo vipo sokoni kwa sasa. Vitabu hivyo ni ROHO YA PAKA, NAJISIKIA KUUA TENA & ROHO YA PAKA. Vitabu hivi viliandikwa na marehemu BEN R. MTOBWA. Bei ya kila kitabu ni shilingi elfu kumi.
Kwa wale wakazi wa Dar es Salaam, kesho tutakua Mlimani City kuanzia saa nne asubuhi hadi saa kumi jioni.
Kwa wale wa mikoani wanaweza kupiga simu na kutumiwa vitabu.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0712504985, 0684081708 au 0763044459
Yo Yo, Mama, Mpita Njia, Mzee Mwanakijiji, DDT, Shadow, Philemon Mikael Tonga, @Ngwanza Madaso, @ yassin, single Sajenti, Kibunango, @RR, Morani75, Semjato, Kuntakinte, Kevo, KESHaija, streetwiser, Mbalamwezi, Baba Enock, Nemesis, Katavi, Kapo Jr, Amorbwoy, sonny-benson, nyakubonga, JEKI, hawahamisi, lutayenga, Bigjahman, Ntigy, NGANU, charliehustler, guasa, kigongoi, ntamaholo, kudi kudi, ulimbaga, plo lumumba jr, ADK, Zeddicus, kiraia, Sam 2, playboy, Mussolin 5, rosob, laki si pesa, lutayega, idawa, MAPIKIPIKI, Hikma, Last emperor, nemulo, MJUKUU WA KACHUNDU, conductor, wakusoma, Ibrah, Nomile, MankaM, Yoon Sung Lee, mussa, Mashala Jr, @Muella jr, Kijini, The secretary, david ngido, Simba Mkali, The Dude, The Genius, mpayukaji, Jumakidogo, X-PASTER, Al Zagawi, Njangula, sirghanam, mtemiwaWandamba, Udadisi, Gurudumu, Kasimba, Mwalimu, KULI, nyabhingi, mohamed Shossi na wengine wote karibuni.
kama utaweza tuwasiliane wiki ijayo, niletee maeneo ya gongo la mboto, tafadhari usimtume mtu uje mwenyewe.
kama utaweza tuwasiliane wiki ijayo, niletee maeneo ya gongo la mboto, tafadhari usimtume mtu uje mwenyewe.
Dah! Hivi vitabu navipendaga sana. Je Salamu toka kuzimu, Lazima ufe Joramu na Pesa zako zinanuka hauna mkuu?
nahitaji kimoja nipo maeneo ya amana.
Lol....
kwako kabisa?
salam kutoka kuzimu.
naomba hicho cha mikataba ya kishetani.