last king of uscoch
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 2,761
- 4,003
Malipo ndo shida,tunafanya kabla au baada ya kupokea mzigoTumeshawatumia wateja wengi sana, biashara za siku izi wateja hawapotez muda kwenda dukan, wanafikishiwa bidhaa popote walipo
Malipo ndo shida,tunafanya kabla au baada ya kupokea mzigoTumeshawatumia wateja wengi sana, biashara za siku izi wateja hawapotez muda kwenda dukan, wanafikishiwa bidhaa popote walipo
Kaka hua tunapokea pesa ndipo tunatuma mzigo. Uaminifu kwa mteja mmoja umetupelekea kupata wateja wengi. Biashara ni uaminifuMalipo ndo shida,tunafanya kabla au baada ya kupokea mzigo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hizo siuz ofisin kwangu
yaani unavyojibu kama vile hutaki !! Sasa ujishasema hivyo maana Yake bei ni hiyo 40,000/= kwa vyote hivyo?Jezi inakua 1, mpira 1, sox na kiatu pair 1.
Ile ofa unapata single jezi full 1, mpira 1, kiatu pair 1 kwa sh 100,000.yaani unavyojibu kama vile hutaki !! Sasa ujishasema hivyo maana Yake bei ni hiyo 40,000/= kwa vyote hivyo?
Upo sawa ipo white na pink. Jezi orgnal first grade sina ila second grade ninauza 35,000. Hizi za kawaida zilizojaa kariakoo nauza 14,000NATAKA JEZI YA REAL MADRID OG MBILI MOJA NYEUPE NYINGINE IWE NA RANGI YA PINK SINA UHAKIKA KAMA NI IVO NI BEI GAN!?
una maanisha second grade moja ni elfu 35?Upo sawa ipo white na pink. Jezi orgnal first grade sina ila second grade ninauza 35,000. Hizi za kawaida zilizojaa kariakoo nauza 14,000
35000 kwa jezi za second grade, first grade mimi sina na ninahisi zitakua gharama sanauna maanisha first grade moja ni elfu 35
Mi ninayo hyo jez nyeupe lakin na mkanda wa njanoHII KITU INAPATIKANA KWA BEI GANI?
![]()
ya karate ama ya judo? mimi natafuta ya judo, za karate ni nyepesi lakini za judo ni nzito kama ma blanket kwa ajili ya kushika na kuangushaMi ninayo hyo jez nyeupe lakin na mkanda wa njano
ilikuwa ya taekwondo....ya karate ama ya judo? mimi natafuta ya judo, za karate ni nyepesi lakini za judo ni nzito kama ma blanket kwa ajili ya kushika na kuangusha