Jipatie vifaa cha kupima udongo Shambani

Kipilipili

JF-Expert Member
May 25, 2010
2,272
1,888
UPDATES: Bei ya punguzo kumalizia mzigo ni 110,000/= CHANGAMKIA offer hii. huwezi pata popote bei hii.

LIMA KISASA wewe Mkulima.Kifaa cha 4 in 1 Soil survey Instrument kinapima:
Sunlight (Mwanga wa jua)
Moisture (Unyevunyevu)
PH value(Kiwango Cha Asidi/Nyongo)
Temperature (Joto)
Inatumia bettery(Kama za Remote ya TV)
BEI UNGOZO MAALUM kwa sasa ni sh. 180,000 TU
VIFAA VILIPO: DSM
00d8a208da569e235905d3108398dcdc.jpg

Wasiliana nasi WhatsApp: +8613125094947 utaletewa ulipo ndani ya DSM, mikoani tutatuma kwa basi.
 
UPDATES: Bei ya punguzo kumalizia mzigo ni 110,000/= CHANGAMKIA offer hii. huwezi pata popote bei hii
 
Shida sio upima shida ni kutafsiri matokeo ya vipimo. Je soil pH ikisoma nini inaanisha kitu gani, moisture je nk. Nadhani ungeweka maelezo kidogo ingevutia watu wengi kujua umuhimu wake.
 
hv vidude havina ubora wowote
Busara si kusema tu havina ubora, ungeeleza havina ubora kivipi? au tafsiri ya "ubora" kwako ni nini?. Au unaposema havina ubora unavilinganisha na vipi ambavyo kwa mtazamo wako viko bora? Usiwe mtu wa kulaumu, kushtumu, kukashifu tu , toa facts na pendekeza solution kama unaona kuna tatizo. .Vinginevyo usiharibu biashara ya mtu! Ustaarabu ni muhimu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom