Jipatie unga mtamu wa lishe na dona

Jipatie unga mtamu wa lishe na dona

sherberry

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
306
Reaction score
366
Wale wapenzi wa unga wa lishe na dona ..unga wa lishe kwa watoto , familia na wazee una vitubisho vyote ni mchanganyiko wa ulezi, mtama, ngano ,mchele, uwele , karanga , mahindi , soya na mbegu za maboga...pia dona safi kwa afya ya familia yako piga au watsaap ..0767 626990 au 0753090464
 
Ukitaka unga wako wa lishe uwe salama kwa afya weka vitu hivi:
I) MTAMA LISHE(MTAMA MWEUPE MNENE) kg 5
ii)BOGA KAVU kg 2
iii)KOROSHO 1/4 kg
iv) MAHINDI kg 2
Kasage unga wako tayari kwa matumizi na uki hitaji wasiliana nami
 
Back
Top Bottom