Jipatie ubuyu fresh wa Zanzibar

Jipatie ubuyu fresh wa Zanzibar

JAMBONIA LTD

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2014
Posts
584
Reaction score
276
Habari wadau!

kwa mahitaji ya ubuyu wa Zanzibar,mwekundu na mweupe tunapokea oda na hivo kujipatia ubuyu fresh direct kutoka jikoni, Zanzibar .

Mzigo huingia Dar kutoka Zanzibar kila ijumaa na jumatatu kupitia meli ya mizigo,Azam Sea link.

Ndoo ndogo 33,000
Ndoo kubwa 60,000

Mzigo unafikia k.koo makutano ya mtaa wa swahili na k.koo

Delivary kwa Dar ni elfu 2 tu,mikoani utagharamia usafiri.

Malipo ni baada ya kupokea mzigo kwa wakazi wa Dar, ila kwa mikoani malipo ni kabla !

Ukiwa mteja wa mzigo mkubwa na wa kudumu tutakupa discount .


karibuni tufanye biashara kwa ubora na uaminifu!

Weka oda katika no hii 0713 763595 (sms zitajibiwa kwa haraka zaidi)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom