Jipatie TV smart kwa bei nafuu

Jipatie TV smart kwa bei nafuu

SAMSUNG
LG
TCL
STARX
BOSS
SHARP
TOSHIBA

NB. Ukinunua TV utapata WALL BLAKET na HDMI CABLE bure pamoja na kuletewa hadi ulipo BURE popote kwa TANZANIA. [emoji91]

Pia tuna page yetu Instagram kwa jina la chrix_online_market KARIBUNI WATEJA WETU.View attachment 960328View attachment 960329View attachment 960330View attachment 960331View attachment 960332View attachment 960333View attachment 960334View attachment 960335View attachment 960336
Nina laki nane taslim Boss hilo li 4k la lg uwezi nibariki walau na mimi nichungulie vya kunoga msimu huu wa sikuku pia tusiathiri mambo ya ada za watoto mwezi unaokuja????
 
Nina laki nane taslim Boss hilo li 4k la lg uwezi nibariki walau na mimi nichungulie vya kunoga msimu huu wa sikuku pia tusiathiri mambo ya ada za watoto mwezi unaokuja????
Hapo kwa bei punguzo mkuu ni 890k hiyo ni smart tv.....
tapatalk_1544978807500.jpeg
 
embu niambie TCL smart inch 40 bei gani ?
LG smart inch 32 bei gani ?
NOTE: biashara ni ya uhakika weka bei nzuri Je na unatoa huduma ya kufunga Tv kwa mteja aliyenunua
 
Hv kuna tcl 40 inch yenye ruko

Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom