Upo wap mkuu*DON TRADERS*
Samsung galaxy J7(2015) *320k*
Samsung galaxy A7(2015). *320k*
Samsung galaxy s6edge. *450k*
Simu zite ni brand new full accesories
All colors available
Call *0716119347*
Sent from my iPhone using JamiiForums
Duuh Nipo katavi bosNipo dsm mitaa ya mlimani city (survey)
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mpya haina pichaSimu ni mpya mkuu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Makampuni mbalimbali huuza vitu kwa kuonesha picha mfano kampuni za magari/nyumba,vipuri,nguo nkSimu ni mpya mkuu
Sent from my iPhone using JamiiForums

Yaani simu uuze wewe then tuingie internet tuangalie hizo unazouza zinafananaje aisee, picha halisi za bidhaa zinaleta ushawishi zaidi, weka picha watu wahamasike mkuu,all the bestIngia Internet tafuta picha zake simu ushaambiwa ni mpya unataka picha ya nn?? Au hujui unachoulizia?
Kweli mkuu ngoja nifanye hivyoMtoa tangazo ukitaka upate wateja na Kama unaona Hasara kufungua hayo mabox basi pga picha tu hzo box tuzione si unaona ule uzi wa wauza smartphone ni mwendo wa picha tu pia inasaidia kumshawishi mteja