Jipatie sanitizer kwa bei nafuu

Jipatie sanitizer kwa bei nafuu

mls 60 kwa elfu nane ni wizi mkubwa sana ,mtu achukue spirit mls 500 kwa shilingi 3000 na kuchanganya na glycerin ya miatano akapata dawa murua kuliko hayo madude ya huyu jamaa,sio kwamba namharibia biashara yake hapana,ila nikosa kujitajurisha kupitia matatizo ya watu
Zikifika buku 2 mnistue.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani 60mls kwa elfu nane ndio bei nafuu? Aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni lazima tuwapinge kwa nguvu zote hawa watu .yaani nimeogopa kweli 60mls kwa 8000/= kwa familia ya watu 6 hiyo mnatumia siku mbili tu inaisha,kwa mwezi ni 120.000/= si mshahara wa mtu huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Na bado inakuwa hauna uhakika asilimia za alcohol zilizomo ndizo zenyewe ama wameweka kiushahidi tu,,unakuwa unapaka ukidhani unajikinga kumbe holaa,,sabuni na maji Ni uhakika na Ni cheap
 
Back
Top Bottom