Ingia website ya wizara ya kilimo na mifugo nadhani huko ndio maelezo ya namna ya kuomba nafasi.Me nahitaji kujiunga na mafunzo ya mifugo.. natapaje nafasi hapo LITA - Tengeru mkuu
Wewe mrombo huwezi pata hata mia ....utarudi hapa kuniambiaKwa majina naitwa Kennedy Shirima,ni mhitim wa elim ya mifugo Chuo cha Lita Tengeru Arusha,napenda kuwa taarifu wafugaji wa kuku wakubwa na wadogo kwamba uzalishaji utokanao na kuku unazingatia jinsi ya banda lako ulivyo lijenga pia na chakula unachowapatia kuku wako kisha kupata mavuno bora.Basi mimi najishugulisha na maswala hayo ya utengenezaji ramani,kwa atakaye hitaji ramani ya banda bora basi mimi nitamtengenezea kulinga na hidadi ya kuku ambao atakuanao kisha nitamtumia kwa njia ya mtandao (wa mbali) kwa wale wa karibu napatikana mikoa ya Kilimanjaro na Arusha ila sasa nipo field mkoa wa Tanga.Pia kwa upande wa chakula nitampatia na formula ya kuchanganyia chakula bora.
Naomba unitafute ilituweze kusaidiana
Bei ya Ramani;50,000-100000Tzsh
Bei ya formula ya chakula;5000Tzsh
MAWASILIANO
Phone;0762283253 pia no hii inapatakina WhatsApp
Email; kennesyshirima09@gmail.com
Asante sana na karibu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa master, niandikie kwanza hyo website.. msaada tafadhari mkuuIngia website ya wizara ya kilimo na mifugo nadhani huko ndio maelezo ya namna ya kuomba nafasi.
Ministry of Livestock and Fisheries Development United Republic of TanzaniaSawa master, niandikie kwanza hyo website.. msaada tafadhari mkuu
Asante sana kiongozi, ubarikiwe
Asante sana kiongozi, ubarikiwe
To be specific ingia hapa ndio kuna kila kitu.Sawa master, niandikie kwanza hyo website.. msaada tafadhari mkuu
Sawa nimeiona njia ya kuingilia...To be specific ingia hapa ndio kuna kila kitu.
Livestock Training Agency (LITA) – Just another WordPress site
"pambana na hali yako"
Kwa majina naitwa Kennedy Shirima,ni mhitim wa elim ya mifugo Chuo cha Lita Tengeru Arusha,napenda kuwa taarifu wafugaji wa kuku wakubwa na wadogo kwamba uzalishaji utokanao na kuku unazingatia jinsi ya banda lako ulivyo lijenga pia na chakula unachowapatia kuku wako kisha kupata mavuno bora.Basi mimi najishugulisha na maswala hayo ya utengenezaji ramani,kwa atakaye hitaji ramani ya banda bora basi mimi nitamtengenezea kulinga na hidadi ya kuku ambao atakuanao kisha nitamtumia kwa njia ya mtandao (wa mbali) kwa wale wa karibu napatikana mikoa ya Kilimanjaro na Arusha ila sasa nipo field mkoa wa Tanga.Pia kwa upande wa chakula nitampatia na formula ya kuchanganyia chakula bora.
Naomba unitafute ilituweze kusaidiana
Bei ya Ramani;50,000-100000Tzsh
Bei ya formula ya chakula;5000Tzsh
MAWASILIANO
Phone;0762283253 pia no hii inapatakina WhatsApp
Email; kennesyshirima09@gmail.com
Asante sana na karibu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafadhali jiheshim,na ujue namna ya kuzungumza,kama hutaki maendeleo kwa watu basi kaa kimnya,aisee umenikwaza sana usidharau kazi ya mtu.Na kwa taarifa mimi nishakula mamilioni ya pesa kutoka na kazi yangu hii.
Ndio utapata nduguJe naweza pata ramani y banda la mbuzi wapatao 15-20.??
Hilo halina shida,kwa maana shamba ni lako.Hiyo ramani nayo ni lazima iwasilishwe kwenye mamlaka za miji au mikoa kuombea building permit? Embu tujuze kidogo?