Jipatie pikipiki nzuri kwa bei nzuri hapa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jipatie pikipiki nzuri kwa bei nzuri hapa.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by jfnewuser, Sep 26, 2011.

 1. j

  jfnewuser Member

  #1
  Sep 26, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  2010 Bajaj Pulsar
  Mahali iliko: Dar Es Salaam
  Kuingizwa na Kuandikishwa Tanzania : 2010
  Ujazo: 150cc
  Odometer: 9400 km
  BEI: TSHS 2,750,000/=

  Contacts: 0714 539263

  Nimeitumia pikipiki hii kwa matumizi binafsi tu, na nimeamua kuiuza kwa sababu ninataka kununua nyingine kubwa zaidi.

  Cheki kitu hicho hapa chini.

  IMG_1166.JPG
  IMG_1169.JPG
  IMG_1172.JPG

  IMG_1171.JPG IMG_1176.JPG IMG_1170.JPG
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,465
  Likes Received: 19,842
  Trophy Points: 280
  naona unauza vimalizio
   
 3. j

  jfnewuser Member

  #3
  Sep 26, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sikujua kama vina majina kama haya. Anyway kama uko tayari tuwasiliane tu mkuu Ivuga.
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mkuu! Kuna mshikaji wangu nimemwonyesha hiki kifaa akasema kama M 1 inafaa akucall. Lakini nikamtahadharisha ya kwamba humu ndani hakunaga utani.
   
 5. j

  jfnewuser Member

  #5
  Sep 26, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu M1 haitoshi hata kununulia sunlg tu acha hyo kitu ya mhindi.
   
 6. m

  mjasiria JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 3,790
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mkuu hiki kitu cha ukweli sana. Vipi nikikipigia udalali utanipa sh ngapi?
   
 7. j

  jfnewuser Member

  #7
  Sep 27, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lete mteja kwanza ndio tutaongea vizuri.
   
Loading...