Jipatie nyumba Usagara Mwanza

Kushoto Mwa barabara ukiwa unaenda shinyanga
 
Ukiwa na milioni 10, unanunua kiwanja na kujenga nyumba ka iyo na kupiga bati kabisa.
 
Huo uwanja uliojenga nyumba una ukubwa kiasi gani...kwa vipimo vya mita...je maeneo hayo umeme na maji vipo umbali gani...maana naona nyumba peke yake utadhani imejengwa jangwani.
 
Hiyo nyumba ina vyumba vingapi vile?...na master ngapi?
 
Ukipata mtu wa kumuuzia nyumba yako kwa milioni tano njoo quchukue laki moja bure nyumba yenyewe hiyo?
 
je naweza kupata kiwanja au shamba huko nahitaji sana sana
 
kaka ninavojua mim usagara center kuna nyumba za tanroad hyo nyumba itakuwa mbali na center labda km itakua center ya.kagera sawa lakini hapo usagara hakuna kitu km hicho,nlikwambia unitafutie kiwanja kuanzia darajani mkolani mpka buhongwa kisizid 6m,usagara shida ni maji,mim nimehamishiwa mwanza .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…