borncool
JF-Expert Member
- Jul 8, 2013
- 226
- 49
Fursa kwa kampuni /mnunuzi wa mchele kwa jumla kuanzia tani 2 na kuendelea jipatie mchele Safi kutoka hapa Didia kwa Bei nafuu kabisa kipindi hiki cha mavuno na nitakuwa nawe bega kwa bega kwa kipindi chote utakachokuwa na shida ya mchele ,mchele unapatikana wa Kila aina kwa Bei Kati 950 mpaka 1500 kulingana na grade unayohtaji.
Didia ipo njia ya kuelekea Kahama nyuma kabla hujafika Isaka. Wasiliana nami nitakuuzia mchele Safi maana mi mwenyewe nakoboa nakuuza hivyo nitakupatia mchele Safi na endapo unahitaji mchele mwingi zaidi nitakusaidia kupata kiasi chochote unachohtaji
Kwa ambao wanahtaji kutumiwa wanicheki pia ili niwatafutie mapema na kuwatumia.
Fursa pia kwa wenye magari ya kusafirishia mizigo wanicheki niwaunganishe pia na wanaotaka kusafirisha mchele wao.