dickison80
New Member
- Sep 1, 2011
- 2
- 0
Kazi gani unalipa ili uipate?
Ningetaka kusikia kutoka kwa mtu aliyefanikiwa kwa kazi hizi hapa Tanzania, ili nishawishike.
Je una ujuzi wa wastani wa kutumia computer na mabaye una mda wa ziada ambao ungependa kuutumia ipasavyo kuzalisha aina fulani ya kipato?
Waweza kuwa mama wanyumbani,mwanafunzi, muhitimu katika ngazi mbalimbali za elimu kuanzia sekondari, elimu ya juu na vyuo mbalimbali.
Pengine katika kuhitimu kwako umejaribu kutafuta njia mbalimbali za kujipatia kipato ila kwa namna moja au nyingine umekwama na hauna kipato cha kueleweka.
Copy na paste ukurasa huu kwenye browser yako Part Time Jobs | Data Entry Jobs | Earn Money Online Work From Home | Part Time Jobs For Students | Part Time Jobs For Housewives | EarnPartTimeJobs.com -
Ikiwa umevutiwa, Jisajiri, chagua jinsi utakavyo pokea malipo yako na waweza kujitengenezea mpaka $2000 kwa mwezi, kipato kitategemea na kazi uliyo fanya.
Unachoatakiwa ni kuwa na computer yenye internet na hapa namaanisha kuwa, si lazima uwe navyo binafsi. Unaweza kutenga muda mfupi tu kwa kufanya kazi hiyo kutoka kwenye internate cafe yeyote.
Ni kazi ya kuingiza taarifa za makampuni mbalimbali katika database (DATA ENTRY), taarifa hizi za makampuni mbalimbali ni za kimataifa na huchukua mda mfupi tu kumaliza kazi unayopangiwa kwa siku na waweza kuendelea na shughuli zako nyingine.
Kwa taarifa na maelezo zaidi tembelea ukurasa huu:- Part Time Jobs | Data Entry Jobs | Earn Money Online Work From Home | Part Time Jobs For Students | Part Time Jobs For Housewives | EarnPartTimeJobs.com -
Ukishajisajiri utapata bonus ya $10.
Kila la heri.
hata kwa kutumia akili ya kawaida. kampuni y a kimataifa itoe data zake ziingizwe tu na mtu hata haeleweki alipo. anyway huyu jamaa kachelewa, nilisoma upuuzi kama huu miaka 7 imepita sasa. yeye analeta leo. heri ya DECI kuliko upupun huuuhao wanaomba registration fee kwanza, sasa kama mtu anataka kazi ili apate hela nawe unamwomba hela ili apate kazi, kuna maana hapo? Huu ni wiz mtupu
hata kwa kutumia akili ya kawaida. kampuni y a kimataifa itoe data zake ziingizwe tu na mtu hata haeleweki alipo. anyway huyu jamaa kachelewa, nilisoma upuuzi kama huu miaka 7 imepita sasa. yeye analeta leo. heri ya DECI kuliko upupun huuu
Uthubutu wa kuchupia kwene ziwa lililojaa mamba wenye uchu na njaaPole kwa kukosa uthubutu ndugu
Yaani dollar 2000 ni kipato cha ziada!! huu ni mzaha usiokuwa na vipimo.Uthubutu wa kuchupia kwene ziwa lililojaa mamba wenye uchu na njaa
Hii kitu mimi nilitaka kujaribu miaka mitatu iliyopia. Nikafika mahali kwenye registration wakawa wananitaka niingize credit/Debit card number ili kulipia registration fee, hapo machale yakanicheza. mtoa mada tupe ushahidi wewe umeshakusanya kiasi gani kwa kazi hiyo ya ziada? sio utake wenzio waliwe hela zao za kupostia baruahata kwa kutumia akili ya kawaida. kampuni y a kimataifa itoe data zake ziingizwe tu na mtu hata haeleweki alipo. anyway huyu jamaa kachelewa, nilisoma upuuzi kama huu miaka 7 imepita sasa. yeye analeta leo. heri ya DECI kuliko upupun huuu